MRATIBU MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA

http://michuzi-matukio.blogspot.com/2016/02/waziri-mkuu-majaliwa-akutana-na.html

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Mhe. Alvaro Rodriguez kabla  ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Bw. Alvaro Rodriguez  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 

This entry was posted in Latest news on by .

About STELLA VUZO

UNIC Dar es Salaam is pleased to be of service to the people of Tanzania, providing prompt and accurate information on the work of the United Nations. Please share your views and comments. You can also engage our discussions on unicdaressalaam facebook page and follow us on twitter@UNICDaressalaam.